Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,910
- 31,743
nakaribia ku sign out🤣0344 as you were.
nakaribia ku sign out🤣0344 as you were.
Mchungaji kaanndae neno la asubuhi 🤣🤣nakaribia ku sign out🤣
nshamaliza kusali ndo naenda kulalaMchungaji kaanndae neno la asubuhi 🤣🤣
🔥🔥 🙏 Haya yamechana Anga Moja kwa Moja...Bravonshamaliza kusali ndo naenda kulala
Gari amesubiria wapi?0403 ndugu yangu amekwama Dodoma, anahitaji kufika Mbeya haraka sana.Afanyaje?
Amesubiri gari sana hapati
Dodoma mkuu,ametoka Arusha ili aunge Mbeya,kafika saa nane mpaka sasa yupo Dodoma.Gari amesubiria wapi?
Dharula sana kipengele, lakini kwa muda huu si aende stand tu sasa au pale shabiby anaroute za mbeya.Dodoma mkuu,ametoka Arusha ili aunge Mbeya,kafika saa nane mpaka sasa yupo Dodoma.
Ni dharula sanaaa anatakiwa Mbeya.
Sawa asante kwa wazo, ngoja nimwambieDharula sana kipengele, lakini kwa muda huu si aende stand tu sasa au pale shabiby anaroute za mbeya.
Yah ila kama aba haraka sana awahi four way pale barabara ya iringa anaweza pata usafiriDharula sana kipengele, lakini kwa muda huu si aende stand tu sasa au pale shabiby anaroute za mbeya.
Yah ila kama aba haraka sana awahi four way pale barabara ya iringa anaweza pata usa
Sawa asanteYah ila kama aba haraka sana awahi four way pale barabara ya iringa anaweza pata usafiri
Fahari ya macho tu Gnz wanapambana sanaUlikuwa unatafuta nini mgongoni kwa binti wa watu?
Poleni sana!Fahari ya macho tu Gnz wanapambana sana
Mapema sana.22:30 🌚
Nilale sasa🥱
Uku kwetu ni usiku sana🫢Mapema sana.
Hmm mimi nimejaribu mara mbili ikaniletea hayo mapicha picha nikajua ni kwangu tu, nikaangalia zangu movie, nimejaribu muda huu ndio nilalae nashangaa inafunguka!Waraibu wa JF leo tumeteseka...