GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,695
- 18,039
🤣🤣🤣kulala ni juma30205 Utalala kwako.
Huendi shule mwalimu🤣🤣🤣kulala ni juma3
🤣🤣🤣nafanana na mwalimu ehHuendi shule mwalimu
J3 ni siku ya kumalizia weekend🤣🤣🤣nafanana na mwalimu eh
🤣🤣🤣🤣🤣kwetu sie wengine juma3 tunawahi vibarua vyetuJ3 ni siku ya kumalizia weekend
Aah comeoon🤣🤣🤣🤣🤣kwetu sie wengine juma3 tunawahi vibarua vyetu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣saa kumi na moja shaaa nishaamka naenda kukimbizana na daladalaA
Aah comeoon
Daslam jiji la ajabu sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣saa kumi na moja shaaa nishaamka naenda kukimbizana na daladala
acha tu ndugu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣natoka nyumbani saa 12 asubuhi nafika kazini saa mbili unatoka kazini saa 10 jioni unafika nyumbani saa 1 usiku 🤣Daslam jiji la ajabu sana
Tena Jumatatu ya mbele mbele...hapo 🤗🤣🤣🤣kulala ni juma3
Inaitwa mbelembele yao..🤣acha tu ndugu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣natoka nyumbani saa 12 asubuhi nafika kazini saa mbili unatoka kazini saa 10 jioni unafika nyumbani saa 1 usiku 🤣
yaaaani🤣🤣🤣🤣Inaitwa mbelembele yao..🤣
bado tupogo🤣0335 usiku wa mwafrika.
Wanga wanasonya tu .. popo wanashangaa idadi imeongezeka wanashindwa kuelewa🤣bado tupogo🤣
sa itakuajeWanga wanasonya tu .. popo wanashangaa idadi imeongezeka wanashindwa kuelewa🤣
Naa naa nàashindwa kuelewa ..🫠sa itakuaje