Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,297
- 85,331
aisee sijui wangeandikaje huko kitabuni!Imagine lile jiwe lingemkosa Goliath kichapo ambacho angechezea
aisee sijui wangeandikaje huko kitabuni!Imagine lile jiwe lingemkosa Goliath kichapo ambacho angechezea
nimecopy mahala 😅 na mimi sitaki kuwa mnyonge mwanetuVingeredha🌚
Oh Aimen!😌
Ohh Haleloooooyaaah!!☺️🎶sina cha mkononi naja msalabani, nilitupu nivike ni mnyonge nishike, nilimchafu naja nioshe mi sijafa🎶 🙏
we are all healing from something, Mungu akatutendee wote sawasawa na mapenzi yake atushike mkono na atuvushe kwenye changamoto tunazo zipitia
cc all JF usiku wa manane member
Nikajua upako umekushukia ni kutiririka tu😎nimecopy mahala 😅 na mimi sitaki kuwa mnyonge mwanetu
na mbengooo zikafungukaOhh Haleloooooyaaah!!☺️
upako upo wa kutosha ila si tunaruhusiwa kuigilizia kutoka kwa walio tutangulia au🤭😉😜Nikajua upako umekushukia ni kutiririka tu😎
Nakuchekeaha wakati nakupa mifumo, kesho na keshokutwa tukafungua goli letu saafi kabisa🤗na mbengooo zikafunguka
hebu acha kunichekesha leo nina mood ya upako😅😅😅
Ndio namimi nina ka knowledge hapa ndio nakupa izo chukua..🤏🏾upako upo wa kutosha ila si tunaruhusiwa kuigilizia kutoka kwa walio tutangulia au🤭😉😜
mi nitakua upande wa kupokea pesa nimewahi👌😅😅Nakuchekeaha wakati nakupa mifumo, kesho na keshokutwa tukafungua goli letu saafi kabisa🤗
nimekapokea kwa mikono miwili 🤝👊Ndio namimi nina ka knowledge hapa ndio nakupa izo chukua..🤏🏾
Hapana hafu nani atatoa neno sasa? Mimi mhazini bwanawee!mi nitakua upande wa kupokea pesa nimewahi👌😅😅
si wew hapo ma mchungaji au 😅Hapana hafu nani atatoa neno sasa? Mimi mhazini bwanawee!
Aah hapana mimi nitakusanya zaka na sadaka🫰🏾si wew hapo ma mchungaji au 😅
hiyo kazi nimeiwahi mimi, we chagua nyingine tuAah hapana mimi nitakusanya zaka na sadaka🫰🏾
Basi ntakuwa naimba mapambio tu sina namna😒hiyo kazi nimeiwahi mimi, we chagua nyingine tu
Pastor wini🥳