Nashangaa nazurura nipo peke angu nikaona umeonekana 6 minutes ago nikasema nimuite huyu nakaje kinyonge?Ndo nimeamka Sasa hivi. Usingizi umekata
Mbona hujalala alfajiri hii 😜 au una mawazoNashangaa nazurura nipo peke angu nikaona umeonekana 6 minutes ago nikasema nimuite huyu nakaje kinyonge?
Tumbo linauma ndo mana sjalalaMbona hujalala alfajiri hii
Pole sana nini shidaTumbo linauma ndo mana sjalala
Vidonda vya tumbo vinasumbua sana?Pole sana nini shida
Daaa jamani pole sana.Vidonda vya tumbo vinasumbua sana?
Duh! hata sijui natumia tu dawa ya kupunguza naskia kuna dawa za kienyeji zinaponya ila za hosptal haziponyiDaaa jamani pole sana.
Hivi Huwa havina dawa?
Sawa kuna uzi kule jukwaa la afya nimepost kwa yeyote mwenye kujua dawa ya kuponya ndo natafuta sasa natumaini nitapataUnaumwa nini
Tafuta basi utumie Ili upone jamani
Duuu jamani.Sawa kuna uzi kule jukwaa la afya nimepost kwa yeyote mwenye kujua dawa ya kuponya ndo natafuta sasa natumaini nitapata
Mana madawa ya hosptal nimemeza mengi kama ndoo hv!
Ucjal kitu chochote kikubwa ugonjwa msiba n.k kikikupata itabidi ulazimishe uone kawaida hata kama inauma!Duuu jamani.
Naumia mimi eti
Lol na kipande cha sabuni dahNiijichukulie sheria mkononi sasa nilale 3.55hrs
Fanya utafute dawa pleaseUcjal kitu chochote kikubwa ugonjwa msiba n.k kikikupata itabidi ulazimishe uone kawaida hata kama inauma!
Sawa MamyFanya utafute dawa please