JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

hauna marafiki wa kuzungumza nao? au mda mwingine uwe unajitoa out ubadilishe mazingira
Niko sehemu ambayo hakuna hizo sehemu za kujitoa out.

Marafiki sina.

Nilikuwa nafikiria leo labda nianze kuwa naenda uwanjani kucheza mpira.

What do you think?
 
Back
Top Bottom