..I wanna be your soldier oooh, soldier oooh0008
π¬Eeeeh ee eh eh oya kai, nanii uwe naheshima bana, sawa uwe na heshima ndugu yangu, nakuomba kuwa na heshima Sawa.π« #Manara thunder storm
Mabinti wa kikurya nawapendaga sana hawanaga uswahili SwahiliFriendly fireπ Sema wewe siwezi acha kukuchokoza.
Eeh toto la kikurya.
Ni wa early 90'sπ π€£π€£Wewe utakuta ni wa 96' barely a millenial halafu unajizeesha. We mrembo tu huna mikazo.
Dogo kuna muda unapiga pasi nyingi nyingi bila kutoa assist, tutafungaje?Unaringa sana aisee wewe utakuwa mseto wa mkurya na mzaramoπ
Unataka kusema Lt.col ni muoga?π€£π€£π
Wapi uliona shangazi anajiita "bad b*tch megatrone"?
Relax usijizeeshe au unaogopa magenzii kujaa PM?
Lt.col wapi, huyo ni askari mchuzi tu.Unataka kusema Lt.col ni muoga?π€£π€£
Ni officer kweli, serious kabisaLt.col wapi, huyo ni askari mchuzi tu.
huzuni sema huku Bush hakuna joto labda giza tu ndo linanitisha12:05 AM
joto litakumaliza
Kwanini wanawake wa JF mnakesha hivi? Inashangaza ujue?00:4π€
Mkubwa hivyo unaogopa giza?huzuni sema huku Bush hakuna joto labda giza tu ndo linanitisha
kiukweli sijawahi kupenda giza zito naogopa mnoooMkubwa hivyo unaogopa giza?
Unaogopa vibwengo vitakutokea?π Vinyamkera?kiukweli sijawahi kupenda giza zito naogopa mnooo
nikifumba macho naona mauza na nikifumbua ndo mauza pro maxππUnaogopa vibwengo vitakutokea?π Vinyamkera?