Muambie akupe namba ukiona majambazi utamtafuta😆
Mdogo wangu ndio maana nakukubali Sana, unanisaidia kwa kupiga mi assist ya maana.
Hapa kwa afande akizingua ndio mwisho sitakuja kupenda tena☹️
Afande anakuambia ni millenial baddie kama nicki minaj utamuweza huyo?😅
hahaa ila JF bwana...
Friendly fire😅 Sema wewe siwezi acha kukuchokoza.0008
🎬Eeeeh ee eh eh oya kai, nanii uwe naheshima bana, sawa uwe na heshima ndugu yangu, nakuomba kuwa na heshima Sawa.🫠 #Manara thunder storm
Umekua sasa unaita wakubwa zako kama upo mrina au Shivas🤣. Ukiita kikurya lazma uwe umekakamaa saaaahwa?Friendly fire😅 Sema wewe siwezi acha kukuchokoza.
Eeh toto la kikurya.
Wewe utakuta ni wa 96' barely a millenial halafu unajizeesha. We mrembo tu huna mikazo.Umekua sasa unaita wakubwa zako kama upo mrina au Shivas🤣. Ukiita kikurya lazma uwe umekakamaa saaaahwa?
Siku hizi unatukana kistaarabu sana, si umesomasoma? Kamtafute mshika mkoba wa alshabibi uje nikupe laaana 🤣🤣🤣Wewe utakuta ni wa 96' barely a millenial halafu unajizeesha. We mrembo tu huna mikazo.
Unaringa sana aisee wewe utakuwa mseto wa mkurya na mzaramo😆Siku hizi unatukana kistaarabu sana, si umesomasoma? Kamtafute mshika mkoba wa alshabibi uje nikupe laaana 🤣🤣🤣
Tumekulea ki wellborn sana.🤣 Unajiskia tu kuwajibu chochote shangaz zako. 🫠🫠 Huu uswahili wa maneno mengi umeutoa wapi🤔Unaringa sana aisee wewe utakuwa mseto wa mkurya na mzaramo😆
😆Tumekulea ki wellborn sana.🤣 Unajiskia tu kuwajibu chochote shangaz zako. 🫠🫠 Huu uswahili wa maneno mengi umeutoa wapi🤔
We nae unayako sasa 🤣 akijiita hivo onika Tanya(Niki) inakua inasound vizuri eeeh? Ila😆
Wapi uliona shangazi anajiita "bad b*tch megatrone"?
Relax usijizeeshe au unaogopa magenzii kujaa PM?
Ngoja siku moja jenzii nitaslide kwenye DM nijaribu bahati yangu.We nae unayako sasa 🤣 akijiita hivo onika Tanya(Niki) inakua inasound vizuri eeeh? Ila
Nikijiupgrade Mimi mkurya, unaleta chuki? 🤣🤣 Sikukufundisha hivo wallah.
Ujasiri ndio kitu tulikujengea.. we are proud of u.. tunakutuma sasa🤣🤣🤣Ngoja siku moja jenzii nitaslide kwenye DM nijaribu bahati yangu.
Mwanga ninauona kabisa.