Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,683
- 208,882
Wameweka sunday wasipate lawama hata kwa waliopo Kariakoo, wote washirikiUnesi mi nawezea wapi! Serikalini uko wana mambo ya kiwaki🥺
Wameweka sunday wasipate lawama hata kwa waliopo Kariakoo, wote washirikiUnesi mi nawezea wapi! Serikalini uko wana mambo ya kiwaki🥺
Za kupewa sio tamu kama zako mwenyeweAcha kazi pesa nitakuletea mimi
Wala hata leo wamefanyaWameweka sunday wasipate lawama hata kwa waliopo Kariakoo, wote washiriki
Jamani mara moja kwa mwaka ndio mniseme hivi😁
mimi nitaongozwa na nani ila wew bwana kaa nami 0142
Haifai😀😀Jamani mara moja kwa mwaka ndio mniseme hivi😁
Depal mi watoto napeleka wapi🤦🏽♀️ Mmoja ananitosha😁Haifai😀😀
Asingekuwa mkali sahv ungekuwa na vitoto sita. Umeviacha ukaenda disko
kwa Yesu kuna raha😊
Vitoto ni barakaDepal mi watoto napeleka wapi🤦🏽♀️ Mmoja ananitosha😁
Bwana yesu asifiwe😑kwa Yesu kuna raha😊
We unavyo vingapi so far😑Vitoto ni baraka
Kamoja hakatoshi kabisa
Hako ni kakukufunza u motherhood
Vitoto vinatakiwa viwe vinne+
amina amina ma mtumishiBwana yesu asifiwe😑
VitatuWe unavyo vingapi so far😑