Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,452
- 85,736
Nipo swalamaaNakulinda usidhurike
Mletee😁Niko salama
Nimlete Amell?
Nipo swalamaaNakulinda usidhurike
Mletee😁Niko salama
Nimlete Amell?
Mida ndo hii🤭kwanini haujaniita mapema ningedandia hata fisi😄😄😄
Shikamoo01:11
haujui tu ninavyo umia moyoni 😎 ila sawa tu we nidodishieMida ndo hii🤭
Namleta chapNipo swalamaa
Mletee😁
Twende nikupeleke, niko kwa Remi hapa nakupitia chaphaujui tu ninavyo umia moyoni 😎 ila sawa tu we nidodishie
Marahaba , kwemaShikamoo
Hahhaah unaumiaje asubuhi hii🌚haujui tu ninavyo umia moyoni 😎 ila sawa tu we nidodishie
Nawasubiri💃🏽Namleta chap
Lala mama’ke 😁Badala mlale mnakesha
😀😀 masaa 48 uwa ni machache sana. Sasa hivi inakuwa j3 kasoro.
Napenda pesa, sipendi kwenda kazini 🤨
Nasubiri kesho nikasinzie church, nimsingizie shetani.Lala mama’ke 😁
Bora ww kuliko mimi nina interview saa 1 kamili🤦🏽♀️Nasubiri kesho nikasinzie church, nimsingizie shetani.
Nmemaliza kuangalie ile movie, sina hata lepe la usingizi
Salama kabisa, u hali ganiMarahaba , kwema
Acha kazi pesa nitakuletea mimiBadala mlale mnakesha
😀😀 masaa 48 uwa ni machache sana. Sasa hivi inakuwa j3 kasoro.
Napenda pesa, sipendi kwenda kazini 🤨
😀😀 ni ya unesi auBora ww kuliko mimi nina interview saa 1 kamili🤦🏽♀️
SijamboSalama kabisa, u hali gani
Unesi mi nawezea wapi! Serikalini uko wana mambo ya kiwaki🥺😀😀 ni ya unesi au
Maana hao ndio wanafanya kazi hadi sunday.. all the best girlie