Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,060
- 5,251
Watu wanaangalia match saiv 😅😅hakuna alie fungua dimba? mmekuwa wazembe mno 0003
match? ya nini tenaWatu wanaangalia mach saiv 😅😅
Usiogope nipo hapa dada mzuri.kwahiyo nipo pekeangu hapa ? angoja nifumbe macho maan naogopa giza nisije nikaitiwa mwizi bure
Tupokwahiyo nipo pekeangu hapa ? angoja nifumbe macho maan naogopa giza nisije nikaitiwa mwizi bure
Alikua anacheza Everton na Man citymatch? ya nini tena
Yes
Mwenzako usingizi emty bora hata nimekupata!
Kwanini huna usingizi ?Mwenzako usingizi emty bora hata nimekupata!
Kuna mtu namuwaza every time.Kwanini huna usingizi ?
Upo wap