ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,332
- 41,086
Wa motooo sanaJamaa mtamu sana ujue
Anazeeka vizuri
Wa motooo sanaJamaa mtamu sana ujue
Kwahiyo hata chipsi mayai hutumii kama wenzio...oyaaa humu tu kwenye kienyeji proooo max👌
Ebu tujuane kwanza wewe ni mnyama?Wa motooo sana
Anazeeka vizuri
Naona mamluki wameshatia doa tukutane kwenye ule uzi wa tungo nikakupige mashahirimakubwa😅😅 mimi na wew tunamalizana nini yani
Mwaga motooo 22:26Ebu tujuane kwanza wewe ni mnyama?
JesusNaona mamluki wameshatia doa tukutane kwenye ule uzi wa tungo nikakupige mashahiri
Homie hujajibu swali ujueMwaga motooo 22:26
Bibie siku hizi umenisusa sanaJesus
Mi mnyama bhna nakuaje chura na weweHomie hujajibu swali ujue
💪💪 nikataka kushangaa homie iweje uwe chura wa jangwaniMi mnyama bhna nakuaje chura na wewe
Haiwezekani hata💪💪 nikataka kushangaa homie iweje uwe chura wa jangwani
Usijali ipo siku ntatia team hapo,hii biashara bilashaka wababa hawahitaji kupiga simu nyumbanileo nauza chapati maharage,, siku ukipata nafasi uje kuniungisha
Noma sana hivi mpka uwinde huku huko mtaani hakuna pisi mwanangu?Ngoja nisogeze kiti nikae na birika langu la kahawa hapa lindoni, naweza kubahatisha mrembo aliyepotea njia.