Mtaachana
JF-Expert Member
- Mar 27, 2025
- 1,944
- 6,579
Nisubili nikwambie kituhaya wapenzi mi naenda zangu nyumban muwe na wakati mwema tutaonana siku nyingine panapo majaliwa ShesRise_1 Mtaachana ERTUGRUL BEY na Saad30
Nisubili nikwambie kituhaya wapenzi mi naenda zangu nyumban muwe na wakati mwema tutaonana siku nyingine panapo majaliwa ShesRise_1 Mtaachana ERTUGRUL BEY na Saad30
Kwanini hayupo hivyoHuyu atanisonya
kaniwahi jamni😄Mbona wewe na ERTUGRUL BEY
Mnaaga the same time 😂
nipo hivyo bwana acha kunfaliji😄Kwanini hayupo hivyo
Hakuna tabu lala unono sweetie 💖kaniwahi jamni😄
Kijana wawatu anaona una mfokea masikini kumbe mwenyewe mpoleenipo hivyo bwana acha kunfaliji😄
hili ni dongo au😄Kuna watu unaona kabisa wanalazimishwa kuongea Kwa code za mtaa
Shida nini Saadi?Kuna watu unaona kabisa wanalazimishwa kuongea Kwa code za mtaa
Umekoswa backup sasa na wewe kalaleHakuna tabu lala unono sweetie 💖
Win analala kweliHakuna tabu lala unono sweetie 💖
ShesRise_1 naomba msikilize kwa niaba yangu sweetheart😊 mi sisikiagi usikuNisubili nikwambie kitu
Nikilala nani atalinda hapa kwa jirani sasaUmekoswa backup sasa na wewe kalale
Hakuna shida sababu wewe upoShida nini Saadi?
Unataka asilaleWin analala kweli View attachment 3579902
Ohoooo🤭ShesRise_1 naomba msikilize kwa niaba yangu sweetheart😊 mi sisikiagi usiku
Uyu kivuruge apana kwanza alinihaidi buku3 mpaka leo sijaionaShesRise_1 naomba msikilize kwa niaba yangu sweetheart😊 mi sisikiagi usiku
Mwache alale aote ndoto hazina rangiUnataka asilale
Sema tumzuie