win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,200
- 31,423
mimi huwa nashindwaUyu atakua aliishiwa pawa sio bure
coz wanawake uwa amshindwi na jambo lolote
mimi huwa nashindwaUyu atakua aliishiwa pawa sio bure
coz wanawake uwa amshindwi na jambo lolote
Wewe dogo ni muongo mnoo😂mi nimemuacha tu aondoke zake sijataka kumpigia kelele wakati nishajichokea zang
Ila ingekua ni mwamba ungemkwida shingoKwa sababu yako nakausha
kweli vile sidanganyi kitu mie😂Wewe dogo ni muongo mnoo😂
Uyo jamaa alifeli pakubwa sana anaichia mali safi inabidi tumuzomee aone aibuNimeumia sana mtu anaondoka huku anasita unashindwa hata kujikwaa ukaangukia kwenye kikapu chake😂
Usiwe mkali jamani 😢😂😂😂😂 hapo sawa😘
Akizingua namroga tuIla ingekua ni mwamba ungemkwida shingo
Sleep well homie🙏ShesRise_1 Asante kwa kampani sikutegemea kama ningekuwa hewani hadi sasa umenichangamsha this night bila kumsahau win-one umetuchekesha
Nawapenda my home girls,bye and g9t!
Daah unaonyesha unadeka sanaUsiwe mkali jamani 😢
Kwani siruhusiwi kua hata na bebe
Basi unafeli kama vipi sepa tuAkizingua namroga tu
Unalala vipi saizShesRise_1 Asante kwa kampani sikutegemea kama ningekuwa hewani hadi sasa umenichangamsha this night bila kumsahau win-one umetuchekesha
Nawapenda my home girls,bye and g9t!
pamoja sana homie na mimi nasepa sio muda tuShesRise_1 Asante kwa kampani sikutegemea kama ningekuwa hewani hadi sasa umenichangamsha this night bila kumsahau win-one umetuchekesha
Nawapenda my home girls,bye and g9t!
Mbona wewe na ERTUGRUL BEYhaya wapenzi mi naenda zangu nyumban muwe na wakati mwema tutaonana siku nyingine panapo majaliwa ShesRise_1 Mtaachana ERTUGRUL BEY na Saad30
Kuna watu unaona kabisa wanalazimishwa kuongea Kwa code za mtaapamoja sana homie na mimi nasepa sio muda tu