Mtaachana
JF-Expert Member
- Mar 27, 2025
- 1,944
- 6,578
Uyu bado mtoto ata ukimtokea aelewiShida iko wapi
Uyu bado mtoto ata ukimtokea aelewiShida iko wapi
Hakuna shida walaShida iko wapi
Astghafirullah mie mtotoUyu bado mtoto ata ukimtokea aelewi
Namaanisha wewe ni baby faceAstghafirullah mie mtoto
Matusi haya wajua 😂
Umeiona wap hiyo baby face jichanganye kijana😎Namaanisha wewe ni baby face
Home boy umechange Gia anganiNamaanisha wewe ni baby face
Hisia zinatuma hivyoUmeiona wap hiyo baby face jichanganye kijana😎
Watu wa jf huwa wanajitengenezea taswira zao vichwani mwao tuUmeiona wap hiyo baby face jichanganye kijana😎
Hahaha mahandiko yanasema tuishi nao kwa akili mingi 😄Home boy umechange Gia angani
Nakujaaaaa 🏃Uje inbox nikuambie kitu bas
Unaishi kwa hisiaHisia zinatuma hivyo
Mbona mapema sana KiongoziNi muda wa kujifunika shuka nilale
Ila sio mbaya hakijaharibika kitu MashaAllah si haba🏃♂️🏃♂️😎Watu wa jf huwa wanajitengenezea taswira zao vichwani mwao tu
Nimekumbuka kuna mmoja huyo nilikua nimemtengezea picha kicwani akhaa kuja kumuona nilipata shock yoo😂Watu wa jf huwa wanajitengenezea taswira zao vichwani mwao tu
Bebe poleee😢2336 nimechoka sana ila naforce,,
Ni kweli kabisa home boy ,wakati wa Mungu ni wakati sahihi kabisa23:24
Baba ninachojua wakati wako ni sahihi