win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,172
- 31,265
hii nzuri ila ujue tu mi sina pesa😆Oky.. Tutafahamiana zaidi at least tuwe tunapeana company siku za Breki.
hii nzuri ila ujue tu mi sina pesa😆Oky.. Tutafahamiana zaidi at least tuwe tunapeana company siku za Breki.
Siku moja moja MTU anguumenikumbusha mbali asee sijui nirudi tu huku
Acha kujifarijiSmile is my best action 😄😄
0:59
Haijalishi.. Wala siwazi kuhusu pesa.hii nzuri ila ujue tu mi sina pesa😆
nawapenda wavuta bangi🤦♀️ ile tone yao wakati wa kuongea inanivutiaSiku moja moja MTU angu
Sasa usipo jifariji utakua mgeni wa naniAcha kujifariji
Acha uwongoHaijalishi.. Wala siwazi kuhusu pesa.
ouky, karibu sanaHaijalishi.. Wala siwazi kuhusu pesa.
Au sio mamtu basi buruda Wacha niwashe kitunawapenda wavuta bangi🤦♀️ ile tone yao wakati wa kuongea inanivutia
NB. namaanisha smart smokers sio hawa wa kuvutia chooni au kwenye majumba Chakavu
Mgeni wa Wazazi wako tuSasa usipo jifariji utakua mgeni wa nani
Wavuta bange wote akili zao ni moja ata kama unavutia kwenye kiyoyozinawapenda wavuta bangi🤦♀️ ile tone yao wakati wa kuongea inanivutia
NB. namaanisha smart smokers sio hawa wa kuvutia chooni au kwenye majumba Chakavu
Thanks.. Nitakaribia anytime.ouky, karibu sana
Hapana hatuko hivyo chafu yanguWavuta bange wote akili zao ni moja ata kama unavutia kwenye kiyoyozi
si kweli bwanaWavuta bange wote akili zao ni moja ata kama unavutia kwenye kiyoyozi
Ni ngumu Sana kuwa mwema ukiwa Tajir01:06
Ni ngumu sana kuwa mwema ukiwa na nǰaa
samahani hivi wew ni me au ke? nisije nikajichanganyaThanks.. Nitakaribia anytime.