Achana na Bavaria mrembo, kunywa Baltika.sas kama kwenye ndoa kuna amani, hawa Waume wenye Pete za ndoa wanafanya nini huku nje usiku huu,, si wakalee ndoa
anyway hayanihusu ngoj niendelee kunywa bavaria
Bavaria???sas kama kwenye ndoa kuna amani, hawa Waume wenye Pete za ndoa wanafanya nini huku nje usiku huu,, si wakalee ndoa
anyway hayanihusu ngoj niendelee kunywa bavaria
kileo ndo kinini mkuuBavaria???
Kwann tu usinywe kileo?
hapan napendelea hii Bavaria vingine sitakiAchana na Bavaria mrembo, kunywa Baltika.
Alcoholkileo ndo kinini mkuu
oooh, hapana nitashindwa kwenda kibaruaniAlcohol
ndio mkuu nikipumzika ujue hiyo siku siliKibaruani Jumapili?!!!!
Unless kama umejiajiri Big upndio mkuu nikipumzika ujue hiyo siku sili
bado sijajiajili sijafika huko ila nitafikaga tu nina imaniUnless kama umejiajiri Big up
Sawaa.. Lakini kuajiriwa kusiko na Breki hata ya Jumapili nao ni utumwa juu ya utumwa.bado sijajiajili sijafika huko ila nitafikaga tu nina imani
breki ipo ila mimi sioni umuhimu wa breki sina cha kufanya nikabaki nyumbanSawaa.. Lakini kuajiriwa kusiko na Breki hata ya Jumapili nao ni utumwa juu ya utumwa.
umenikumbusha mbali asee sijui nirudi tu huku
Oky.. Tutafahamiana zaidi at least tuwe tunapeana company siku za Breki.breki ipo ila mimi sioni umuhimu wa breki sina cha kufanya nikabaki nyumban