JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Fake P umefanya tule ban alooo.!! 😹😹😹

Una maadui wengi sana humu wenye I’d mbalimbali ila sio kesi tukirudi tutajua mbivu na mbichi hayajaisha..!!
That's why nilitaka neutral ground kule siwezi reply tena ule Uzi. Mimi Sina story za kutunga ndio maana Sina haraka, natafuta koti jepesi mahesabu bado sana.
 
That's why nilitaka neutral ground kule siwezi reply tena ule Uzi. Mimi Sina story za kutunga ndio maana Sina haraka, natafuta koti jepesi mahesabu bado sana.
Huo uzushi wako na story zako za kutunga hutafanikiwa. Nitakukukabili kwa nguvu kubwa
 
That's why nilitaka neutral ground kule siwezi reply tena ule Uzi. Mimi Sina story za kutunga ndio maana Sina haraka, natafuta koti jepesi mahesabu bado sana.
Hili halijaisha tutarudi ila sa hivi makesure unatupa missile tu usijibu mataahira..!!

Nakuaminia kamanda halafu yule mjinga nishamjua chokoraa mmoja hivi kajibebesha majukumu sio yake..!! 😹😹😹

Ana bifu na sisi wote watatu, itakuwa tulimkataa anatoa sumu zake..!!
 
Back
Top Bottom