JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hili halijaisha tutarudi ila sa hivi makesure unatupa missile tu usijibu mataahira..!!

Nakuaminia kamanda halafu yule mjinga nishamjua chokoraa mmoja hivi kajibebesha majukumu sio yake..!! 😹😹😹

Ana bifu na sisi wote watatu, itakuwa tulimkataa anatoa sumu zake..!!
Pacha ma tarumbeta
 
Huo uzushi wako na story zako za kutunga hutafanikiwa. Nitakukukabili kwa nguvu kubwa
Wewe nawe unajishaua ili upewe kei ya bure na D 😹😹😹

Sasa ugomvi kama unauweza unaripoti vya nini??
Wewe muoga, ungekuwa na balls kweli ungeacha mchezo uchezeke bila kuombeana ban..!! Huo ni udhaifu na unaonekana umeshindwa..!!
 
Hili halijaisha tutarudi ila sa hivi makesure unatupa missile tu usijibu mataahira..!!

Nakuaminia kamanda halafu yule mjinga nishamjua chokoraa mmoja hivi kajibebesha majukumu sio yake..!! 😹😹😹

Ana bifu na sisi wote watatu, itakuwa tulimkataa anatoa sumu zake..!!
🤔, Kunani jameni?
 
Ushindweeeee..!! 😹😹😹

Mi kontawa, Kamanda wa vita zote za ardhini, majini mpk angani..!!
Kwa hiyo huyo jamaa aliyewaripoti anataka kuipitisha meli yake kwenye mlango wa Hormuz bila kulipia ushuru, siyo?
 
Wewe nawe unajishaua ili upewe kei ya bure na D 😹😹😹

Sasa ugomvi kama unauweza unaripoti vya nini??
Wewe muoga, ungekuwa na balls kweli ungeacha mchezo uchezeke bila kuombeana ban..!! Huo ni udhaifu na unaonekana umeshindwa..!!
Sipo kwa ajili ya kugombana na mtu, nipo kwa ajili ya kupinga na kuzuia uzushi wowote dhidi ya depall
Tafuteni mengine ya kufanya humu. Hili la uzushi kwa depall hamtaweza nitawazuia. Sasa hivi nipo kwa ajili ya kudefend nitapoanza kuwa offensive msijee kunilaumu
 
Back
Top Bottom