cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,896
- 78,940
Naam nipo njema kabisa
Wanasemaje huko ughaibuni?
Vumbi limejaa sana hapa ughaibuni kwangu na jua kaliiiii, hadi naenda rudi tena kijijini kulima mvua kunona.
Leo nimetembea masaa mazoezi na hivi kuishi kando ya jiji.. Hewa nzuriiiii kuelekea sauzi..
Kijijini raha
🥑🍆🍓🍉🍅🥕🥔🌶️🥦🥬🍷