Ndo manini haya kaka?
Hiyo ni graph ya Bitcoin ikiwa on free fallNdo manini haya kaka?
Aisee niliona mjadala wake X kuleHiyo ni graph ya Bitcoin ikiwa on free fall
Yaani inadrop vibaya mno ni kilio na damu duniani kote
Upo?Salamu tena 😊
Niliingia kucheki nikashangaa vinamba nilionaHiyo ni graph ya Bitcoin ikiwa on free fall
Yaani inadrop vibaya mno ni kilio na damu duniani kote
Naam nipo njema kabisaMola mwema
Naona na wewe kijana upo. 😊