JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Dah....wengine tunasubiri maji yatoke tufanye biashara....kuna nyomi hataree..... Dawasco fanyeni jambo basi. Kilasiku narudisha pesa.... mwezi sasa. ... au mnataka turudi kupiga ngeta? Shenztyp 😎
 
Back
Top Bottom