wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,962
- 3,663
i love youMahi wangu nimefika, unanisalimia na tusi gani leo?
i love youMahi wangu nimefika, unanisalimia na tusi gani leo?
Unataka mimi ndiyo nikutusi au?i love you
yes madamUnataka mimi ndiyo nikutusi au?
Humu kuna watu nawaheshimu, lete bichwa lako huku 👇🏽yes madam
Nipo naangalia azam tv,mpira wa nigeria na tunisia ndio umeishaNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!