JamiiForums Usiku wa manane

Mwanafunzi gani huyo muongo kiasi hichi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kila siku tunakimbizana unakataa kufanya chemsha bongo eti unasema uli R.I.P[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kweli tena kila nikitoka humu nilikuwa na R.I.P ikifika mida hii nazinduka kuja kuona kama wamerudi [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…