Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Tushirikisje hiyo furaha. Maana umeanza na maandiki ya kumsifu alie juu bila shaka neema imekushukiaMiaka 10 kwenye Usiku wa manane π π π ππππ
Huu utakuwa wa 11.
Kuna miaka ya kati, kina Toyeye walikuwa wananishangaa kila ikifika saa 6, naupandisha huu uzi. Naulizwa hulali? πππ
Nina historia nao huu uzi, kipindi kila mtu kaususa nilikuwa hapa. Nashukuru wengine mmebeba jukumu hili. Leo nina furaha zangu miye π₯°π₯°π₯° hata usingizi unagoma.
Mimi kila mara Mungu Baba huwa ananishushia neema, ongea naye vizuri kama unamuona. Fuata mema anayoyataka na kuacha mabaya. Basi umemaliza, amesema niite nami Nitakuitikia.Tushirikisje hiyo furaha. Maana umeanza na maandiki ya kumsifu alie juu bila shaka neema imekushukia
Tupo nyuma yako dadaπ€Miaka 10 kwenye Usiku wa manane π π π ππππ
Huu utakuwa wa 11.
Kuna miaka ya kati, kina Toyeye walikuwa wananishangaa kila ikifika saa 6, naupandisha huu uzi. Naulizwa hulali? πππ
Nina historia nao huu uzi, kipindi kila mtu kaususa nilikuwa hapa. Nashukuru wengine mmebeba jukumu hili. Leo nina furaha zangu miye π₯°π₯°π₯° hata usingizi unagoma.
Mrembo wangu, za miaka Dahan Nimefurahi sana, unajificha sana mdogo wangu π₯°π₯°π₯°Tupo nyuma yako dadaπ€
Ushauri umeuona lakini mywangu?00:40 I mean no malice to nobody
Thanks beautiful πNipoo mie..π πI'm happy for you sis π
Shemeji, ulikuwa umepona kabisa. Mbona tena umerudi mirembe πππππInasikitisha sana
Hii ndo ipoπππ sikuhizi tuna mastory ya bey na nukuu kadhaa za kujifunza, na wengine wengine pia.. Ila Intelligent businessman kazi ulimpa anajitahidi kuifanyaπππThanks beautiful π
Jamani tuirudisheni Usiku wa manane ya kipindi kile, ilikuwa moto. Mpaka ikawa na watu wake kabisa.
01:26
Nimeona tajiri yetu Bey anatuwekea mastory na mafunzo. Abarikiwe sana. Intell anaendeleza gurudumu kwa uaminifu sana. Nasi tumuunge mkono, japo siku moja moja hata kama hivi weekend.Hii ndo ipoπππ sikuhizi tuna mastory ya bey na nukuu kadhaa za kujifunza, na wengine wengine pia.. Ila Intelligent businessman kazi ulimpa anajitahidi kuifanyaπππ