Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
0 5:48 lonely at the top 🔥 🔥
Wewe uli kuwa wapi!, ohh uli lala store🤣Kijana ndio unaingia lindo
Nipo lindo nimebadili kituo 😎Wewe uli kuwa wapi!, ohh uli lala store🤣
Basi tawire, harakati ziendelee asubui hii.Nipo lindo nimebadili kituo 😎
Ulitumiss inteli😆I'm just trying to revive the old team, cause I find it quite boring kuwa hapa huku kumbukumbu ziki nijia kila mara as if I'm a damn server.
wapi Kichwa Kichafu, Bantu Lady, Dahan, Shadow7, nusu albino Half american, miss IQ, Hope urassa, Selikavu, Depal, Fortilo, Iceberg9,
I mean no malice to nobody
Ehh nili kupeza sana, kwani vibaya 😁Ulitumiss inteli😆
Ubaya utoke wapi tena😀Ehh nili kupeza sana, kwani vibaya 😁
haya pretty lady 😁Ubaya utoke wapi tena😀
Oyaaaa😆 unazinguahaya pretty lady 😁
nazingua nini au nacheza na kiwanja Cha watu😂😂Oyaaaa😆 unazingua
Ngoja wataalamu wanakuja...Mimi nipo na lenovo yoga book yangu kila nikilonchi google au outlook inajibu unfortunately google has stopped nifanyeje?
Jaribu ku update tuoneMimi nipo na lenovo yoga book yangu kila nikilonchi google au outlook inajibu unfortunately google has stopped nifanyeje?