JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Shutuma hizi ni kubwa Sanaa Mh. Makamu Bolotoba

Mnanipa wakati mgumu sana Mimi msemaji wa CHAMA hiki 😂

Naomba mh. Rais wa majobless promax Intelligent businessman ulitoleee swala hili ufafanuzi, shutuma hizi dhidi ya katibu wa CHAMA min -me ni nzito 😂😂

Au mnalamba asali na hatujui 😂
Msemaji Huyu min -me analamba asali ya ukunga /mildwife sio mwenzetu
 
Mbona siwaelewi Rais Intelligent businessman na Makamu wa Rasi Bolotoba, Mimi semaji nimuwamini nani?

Je makamu wa RAIS anasema kweli na hii Pengine inatupa picha katibu mkuu min -me amelamba asali kiasi cha kulambisha mpk Rais? 🤣

Naomba madai haya yawe na ushahidi Mh. Makamu wa Rais 😂

Mnanipa wakati mgumu sana kukisemea chama 😂
 
Yupo vyede mkuu🤣mimi huu mwaka tano sijaweza kujaribu kuuliza Ata bei ya mitungi mkubwa wa gesi
 
Back
Top Bottom