Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
01:4805:00
01:4805:00
Aleykum Salaam. Khaifa..Jamani samaleko
twayb kayfa ant?Aleykum Salaam. Khaifa..
raisi tuma salamu kwa watu watatu02:33 niite raisi wa ma jobless pro max
Mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, natuma salamu kwa makamu Bolotobaraisi tuma salamu kwa watu watatu
Ngoja nianze rasmi kupitia mimi kama katibu majukumu yangu ndani ya chama😆Mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, natuma salamu kwa makamu Bolotoba
msemaji wa chama Cha ma jobless pro max, makutupora.
Katibu wa chama Cha ma jobless pro max min -me
Kidumu chama Cha ma jobless pro max
Kidumu babaMimi Kama raisi wa ma jobless pro max, natuma salamu kwa makamu Bolotoba
msemaji wa chama Cha ma jobless pro max, makutupora.
Katibu wa chama Cha ma jobless pro max min -me
Kidumu chama Cha ma jobless pro max
Wewe si toka kabsa wewe una kunywa jack Daniel royal village dodoma kwa laki moja alafu ujiite jobless AFu wewe s daktari kabsa🤣tena una miaka 14 kwenye gameNgoja nianze rasmi kupitia mimi kama katibu majukumu yangu ndani ya chama😆
Kumbe nikishalewa huwa ndio nawadanganyaga hivyo? Wewe wap ulishaona dunia nzima daktari anashinda JamiiForums au kwenye mitandao ya kijamii yoyote?Wewe si toka kabsa wewe una kunywa jack Daniel royal village dodoma kwa laki moja alafu ujiite jobless AFu wewe s daktari kabsa🤣tena una miaka 14 kwenye game
Shutuma hizi ni kubwa Sanaa Mh. Makamu BolotobaWewe si toka kabsa wewe una kunywa jack Daniel royal village dodoma kwa laki moja alafu ujiite jobless AFu wewe s daktari kabsa🤣tena una miaka 14 kwenye game
Hizo tuhuma nazikana mbele ya mahakama kwa kifungu cha 19 cha sheria ya mwaka 1999 ibara ya 10 b kinachosema .Shutuma hizi ni kubwa Sanaa Mh. Makamu Bolotoba
Mnanipa wakati mgumu sana Mimi msemaji wa CHAMA hiki 😂
Naomba mh. Rais wa majobless promax Intelligent businessman ulitoleee swala hili ufafanuzi, shutuma hizi dhidi ya katibu wa CHAMA min -me ni nzito 😂😂
Au mnalamba asali na hatujui 😂
Una hoja lakini 😂Hizo tuhuma nazikana mbele ya mahakama kwa kifungu cha 19 cha sheria ya mwaka 1999 ibara ya 10 b kinachosema .
Hakuna mtu mwenye kazi yupo mitandaoni kwa mda wa masaa16 mfululizo.
mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, nakemea shutuma hizo.Shutuma hizi ni kubwa Sanaa Mh. Makamu Bolotoba
Mnanipa wakati mgumu sana Mimi msemaji wa CHAMA hiki 😂
Naomba mh. Rais wa majobless promax Intelligent businessman ulitoleee swala hili ufafanuzi, shutuma hizi dhidi ya katibu wa CHAMA min -me ni nzito 😂😂
Au mnalamba asali na hatujui 😂