Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 937
- 1,483
Mbona lindo linaupweke sana, au ndio January?
Mweupe??, intelligence anayo lakini??Ni third floor ... 31
Ni classmates wangu
Ni mtoto wa dini haswa
😂😂 Mh. Rais unataka nikupe mdogo angu? Huyo classmate wangu ninamuamini ni mke Bora sana!Una jua mimi raisi wako wa ma jobless pro max, nime pitia situation nyingi.
so wewe ume mzingua classmate wako, halafu mimi Nika fill gape yako eboo.
hebu niheshimu raisi wako eboo!
Akili ndo nyingiiiiiii sanaaaMweupe??, intelligence anayo lakini??
Au nikupe halima Kopwe? Ni WA Tanga yule!Mweupe??, intelligence anayo lakini??
sitaki mdogo wako, nani adumishe mahusiano na ma jobless wenzie??.😂😂 Mh. Rais unataka nikupe mdogo angu? Huyo classmate wangu ninamuamini ni mke Bora sana!
Mimi sijapita kwake!
Mimi na hayo mambo! Mbali mbali
Haina kumbwela mbwela, pass her details kule kwenye kikao.Akili ndo nyingiiiiiii sanaaa
Na ametokea familia Bora!
Si mweupe sana.
Mweupe sana ni mtoto wa mwapachu ila katika uwezo wake wa akili Sina uhakika sana
😂😂 Sawa Mh Rais wa majobless promaxsitaki mdogo wako, nani adumishe mahusiano na ma jobless wenzie??.
In my next life Nita omba angalau niwe hustler 😃🤣.
Pass her details, kule.
Imagine mi Sina fuba, nawe huna. Sasa hao wajomba SI wana weza tamani cheo changu😃🤣😂😂 Sawa Mh Rais wa majobless promax
Watakupinduaaaaa 😂Imagine mi Sina fuba, nawe huna. Sasa hao wajomba SI wana weza tamani cheo changu😃🤣
Mbona sioni kitu??Watakupinduaaaaa 😂
Kuwa Mpoleee Mh. Rais 😂Mbona sioni kitu??
Nilikuwa natengeneza kahawa hapa!makutupora Nauliza sioni kitu, story ndo imeisha hivyo??
Na wewe uko third floor ka classmate wako 😃Nilikuwa natengeneza kahawa hapa!
Umri umeenda Sasa nakunywa kahawa
Mimi third floor nimeikata nusu mh. Rais wa majobless promax naikimbiza 40Na wewe uko third floor ka classmate wako 😃
Hebu leta info za yule kiumbe, kwenye box😆Mimi third floor nimeikata nusu mh. Rais wa majobless promax naikimbiza 40
Kunaniiiiii Paleeeeeeeeee .... TangaaaaaaHebu leta info za yule kiumbe, kwenye box😆