makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,482
- 5,138
Mh. Rais wa Majobless Promax unajali sana wananchi wako.Naam Mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, nakusikiliza kijana.
Kuna siku moja nikiwa advance level pale Eckenforde Sec ... Nilitoka jioni kwenda Chuda!
Kupata Banana Raha! 😂 Ilikuwa inauzwa 500 .. Ukinywa Tatu hoiii!
Sasa nilienda na jamaa angu mmoja wa damu sana ...zee la mapenzi ameoa mwaka Jana!
Tumekaa pale tunapata banana! Akatokea mtu mmoja wa makamo kama tu! Nikamwambia jamaa angu huyu mtu ni mganga!
Jamaa angu akasema eti nimelewa tayari😂