PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,575
- 9,111
Huyo mchepuko wake kaolewa!? Maana ndo huwa tabia zao hizoMie usingizi sina leo, kuna ki ex ka mume wangu ka tambooo sijamfahamu. Kanaanza kuvizia, nimekaota juzi usiku anataka kumdaka kwa msosi.
Sasa hapa namuangalia kalala natamani, kwa muda fulani sura iwe mbaya na pesa zimkaukie aonekane alosto.
Wamakimbie
Nimesali naamini hatadakwa.. Wanawake na mavyakula kusaka wanaume imezidi sana tena walio kwa ndoa. Na sifafutagi viumbe hivi.. Ngoma ya sala itawakimbiza tu na sigombani na mume wangu.