Tupo active0039 Maingate LMG standby one
Muombe sana mungu. Kwemye giza anatia mwanga. Binadamu sisi niwadhaifu sanaBado sijalala, nawaza nikipata ajira nitanunua Prado na kupanga nyumba Kariakoo, pia likizo nitakuwa naenda South Afrika au visiwa vya Comoros. Dah!
Endelea kuwaza,mambo yote huanzia kwenye mawazo yetu kisha utekelezaji ndio unafuataBado sijalala, nawaza nikipata ajira nitanunua Prado na kupanga nyumba Kariakoo, pia likizo nitakuwa naenda South Afrika au visiwa vya Comoros. Dah!
🤣🤣🤣 yamenikuta jana aisee hizi nyuzi zilikuwa nomaasana sio sasahivi MAchawaMimi tangu saa nane nipo tu nawaza mchepuko wangu, maana tumezinguana tangu juzi
TupoHadi sasa ivi hakuna aliyeripoti wote mpo kwenye zinaa🤣
Leo ukatembelee mrina.🤸🤸Tupo
Lala wewe😁00:10