Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,013
- 25,704
Huyu haeleweki na hazoeleki kwa mambo yakeHuyu mkuu Evelyn Salt ananichekeshaga sana 😂
Huyu haeleweki na hazoeleki kwa mambo yakeHuyu mkuu Evelyn Salt ananichekeshaga sana 😂
Hahaa 😂 sizani, halalagi usiku anawaza pesa na deals zake. Mtu wa juu huyoMrembo huyo tena mzuri haswa!
Lishangazi jipya la mwaka 90 tu hapo, Asikudanganye!!
Nilichokijua leo kuhusu yeye nimeshangaa, kumbe ni JITU la miraba minne 😁Huyu haeleweki na hazoeleki kwa mambo yake
Kakeshe Shiva utapata Kampani mpaka uchoke 😥Ugeni kazi kweli kweli niko arusha sina hata kampani, ngoja nikakeshe bar tu.
Yaa location na mazingira kiujumlaLocation au ?
Hauhitaj kampani wewe. Pumzika ulipofikia.Yaa location na mazingira kiujumla
Daa sawaHauhitaj kampani wewe. Pumzika ulipofikia.
Riverside Pana nafuu🤣Kakeshe Shiva utapata Kampani mpaka uchoke 😥
Tunakesha na kesho site saa 12🤣🤣🤣Usiku wa kumalizia jumapili na kuamkia Jumatatu.
Mapema sana kabla ya jogoo 🐓Tunakesha na kesho site saa 12🤣🤣🤣
Siri yako sasa😂😂Riverside Pana nafuu🤣
😤😤😤Jitu la miraba, kifua meza, rijali matata.....
Huwa ni watu wa crypto currency haoSema tu wanakuwaga ni matapeli ila majini hio ni dhana. Jini atapata wapi simu vocha na chaji atakuwa anachajia wapi?
🤣🤣🤣🤣Mmmh bado unapiga cha p didy au sio