Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,652
- 10,741
Leo uje tukeshe woteAsantee
Leo uje tukeshe woteAsantee
Tulia mkuu 😂We naee ahsante ya nini bhana 😂😂
Anyway niangalizie hapo chini kama unaona idadi ya membaz waliopo humu
Naomba Leo tukeshe wote then naacha kukeshaWewe unalala muda gani sasa. Tenga muda wa kupumzika upate usingizi
Af kweli me mwenyewe sioni. Naona kama kuna maandishi kwa juu yameongezeka sijui yana maana gani "As Code here"Iko hivi hapo sehemu ya kuandikiaaa mkuu kwa juu huwa kuna idadi ya wasomaji wa uzi sasa wewe unawaona??
Kumbe hii ni usiku wa manane16:40 napita tu.
LoohMe mwisho saa 7
Nitaweza kweli, tufanye saa 10 basi kukielekea mapambazuko. Si utakuwa machoLeo uje tukeshe wote
Bila shaka Upo singleNdioo Shem 😂
😔lala ile Mida yangu bhnaMe mwisho saa 7
Mbona jana ghafla ulipotea😔lala ile Mida yangu bhna
Chimama changuLeta khabari.
Kwanini 😂Bila shaka Upo single
Nice 👍Nitaweza kweli, tufanye saa 10 basi kukielekea mapambazuko. Si utakuwa macho
Ngoja nilale mapemaNitaweza kweli, tufanye saa 10 basi kukielekea mapambazuko. Si utakuwa macho
MmmhNice 👍