Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,449
- 11,318
Mkuu
Piga kama hii😁😂😁😁
Piga kama hii😁😂😁😁
Hii record 😂😁😁😁Mkuu
Piga kama hii
Eeeh hiyo screen record mimi hiyo screenshot ndefu mpaka simu nyingine mkuu hii inagomaHii record 😂😁😁😁
Sio viumbe vya kawaida vinajitafutia riziki zao kweliMda huu nasikia wachawi wana randa juu ya bati.
Hata hivyo kumekucha muda wa kuchange shiftLeo mbu sana
Ukijipaka lotion hii inasaidia sana, mmbu hawapatani nayo kabisaLeo mbu sana
Ina harufu ya kuleta mafua bora Yale mafuta ya mgandoUkijipaka lotion hii inasaidia sana, mmbu hawapatani nayo kabisaView attachment 3099237
Ndioo Shem 😂Mnakeshaga kumbe