Hiyo hatari mkuuπNa kitunguu saumu mixer pilipili mbuzi na maji ya kutosha mixer karoti na pembeni napika chapati ππππππ€π€π€π€
Zikinipanda dodoma sio mbali πππHiyo hatari mkuuπ
Aisee noo tajiri siwezi kukuteta hata kidogo ndugu yangu vijana wamekuambia uwongo haoVincenzo Jr imekuaje hiyo ID yako? Sijaelewa. Na eti ulikuwa unaniteta wapi tena? π€£π€£π€£π€£π€£
Pole Mkuu π€Ni hiyo hiyo kaka ,hiyo siwezi kuinywa tena haina maelewank mazuri na kichwa changu
Siwezi kumteta tajiri yangu hata kidogo πVincenzo Jr imekuaje hiyo ID yako? Sijaelewa. Na eti ulikuwa unaniteta wapi tena? π€£π€£π€£π€£π€£
Nipo hai nashukuru sema usingizi no
Mambo magumu kitaa akili inaenda resiii. Yaani diet simple ya ugali maharage mpaka ukune kichwa....haya maisha bwanaPole mkuu kama kuna mambo yanazungusha ubongo
Naelewa brother japo hayaepukiki ndio maana tunaamka na kupambana tu hadi levels zitukubali. So Usiwaze champ mambo yatakaa fresh muda ukifikaMambo magumu kitaa akili inaenda resiii. Yaani diet simple ya ugali maharage mpaka ukune kichwa....haya maisha bwana
Tunatishana sasawale wa kufanya ibada, kumuita ibilisi au kuwanga ndio mida yenyewe