JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Yes bora hukuingilia kipenzi. Matusi ndiyo silaha ya wengi. Ila hayalipi bill so uchungu uko palepale ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
namimi nkishaona matusi nakimbia kabisa ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ˜‚
 
Yale yako kule. Nilikusaidia kumreport akafungiwa. Maana niliona mdogo wangu hapa atakimbia ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
aah aseee kumbe ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃaliyekua anasema mm mwanaume
 
Ndiyo nikaona nikatishe yale mashambulizi. Si ukaona kimyaaaa
nili ignore coz alkua anantia hasira yaan naandka matusi nafuta,,akawa anaendelea,badae nkaona kmya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ asante bwan,,
 
simjui wala hatujuani,ila kisirani maneno ya ovyo nkalima ignore, uuuuweeeeh si akaniandalia id nyingine ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†unakua kama huwajui watu wa jf wakikuamlia
Ooh kumbe, sikujua alikusumbua na ID yake nyingine pole jamani. Nilichojifunza, mtu akianza kukushambulia usijibu. Mkalie kimya, atatukana atachoka. Kuna mtu ananitag kila comment, utasema nina figo yake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ooh kumbe, sikujua alikusumbua na ID yake nyingine pole jamani. Nilichojifunza, mtu akianza kukushambulia usijibu. Mkalie kimya, atatukana atachoka. Kuna mtu ananitag kila comment, utasema nina figo yake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mi nsha ignore watu wa nne sasa,na sjui wanatokea wapi,,sasa utakuta simjib ila hasira zinanpanda balaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚na ignore naachana nae,,ila bora wali mute coz ile id ilkua inapta na yeyote atakae ni tag
 
23:50
millionaire.mission__332c608f757442bf95134d7d3413ac98.jpg
 
Back
Top Bottom