Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,227
Nilikuwa ...Ila kwa sasa nimeacha...sijui wamenipiga jujuu😔🤔Watoto huwa unawachapa?
Nilikuwa ...Ila kwa sasa nimeacha...sijui wamenipiga jujuu😔🤔Watoto huwa unawachapa?
Ngoja tuibuke tu maana makutano yetu ya kukesha wameyavunja kabisa😔Swadaktaaa ndgu yangu....lindo limelala poa kabisaa😂😂😂
Dahh! Sema tu hatuwajui viongozi wetu kama mods, walimu viongozi wa dini nje na kazi ila tungewajua kuna baadhi ya vitu tungewagomea😂Nilikuwa ...Ila kwa sasa nimeacha...sijui wamenipiga jujuu😔🤔
Hujambo?Habari za asubuhi wakubwa
ShikamooHujambo?
Marhaba! UmeamkajeShikamoo
Nime amka nimedindaMarhaba! Umeamkaje
Ili iwejeVaa ndomu ya vipele kama ya min -me 😂😂
Supu ya pweza ndio nini?😂Na ni kweli...anakuhitaji Ila wamkatisha tamaa....sema nini kuwa makini na mahusiano ya jf wengi wanakuja ili wajue historia ya maisha yako na wanywee supu ya pweza🥴
Nimeona umesema kule uzi wa kondomuUliona wap nimevaa😁😁😁
Nimekuambia fanyia kazi....Supu ya pweza ndio nini?😂
Sasa mbona umechelewa kuniambia🙄
Subiri nikampige kibutiNimekuambia fanyia kazi....
Sio kweli na umri huu niijue historia ya ephen!!!! 😁😁😁😁Na ni kweli...anakuhitaji Ila wamkatisha tamaa....sema nini kuwa makini na mahusiano ya jf wengi wanakuja ili wajue historia ya maisha yako na wanywee supu ya pweza🥴
Umri kitu gani? Unataka uninywee supu ya pweza tuSio kweli na umri huu niijue historia ya ephen!!!! 😁😁😁😁