min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,963
- 166,066
Situmii hivyo vitu aseeeUmri kitu gani? Unataka uninywee supu ya pweza tu
Situmii hivyo vitu aseeeUmri kitu gani? Unataka uninywee supu ya pweza tu
Bas kaza hapo....mtoto Hana hata mtoto😉Sio kweli na umri huu niijue historia ya ephen!!!! 😁😁😁😁
Salama kabisa kipenzi, sijui wewe mrembo To yeye 🥰Bantu Lady umeamkaje?
Tajiri huna baya tajiri ishi sana tajiriiiiiSalama kabisa kipenzi, sijui wewe mrembo To yeye [emoji3059]
Mzee wa Kigamboni 🫡 tuko pamoja, mpaka tutolewe manyoya 😅😅😅Tajiri huna baya tajiri ishi sana tajiriiiii
Subiri aje ameenda gym😂🤣🤣🤣Aseme,asemeee🤸🤸
Wa Afya kabisa. Mungu ni mwema. Mamii ephen_ sijui wewe katotoo karembo umeamkaje?Tajiri upo fresh?
🤣🤣🤣 Sitoki hapa🤒Subiri aje ameenda gym😂
Sijala chochote kipenzi, ndiyo nimeahtuka. Mambo ya kuamka alfajiri, unasema najiegesha nusu saa. Lazima kikulambe 🤣🤣🤣🤣🤣Nipo fresh kabisa tajiri! Nimefurahi kukuona hapa ushakula chocolate?
Kwani mtoto anaweza kuzuia upendo🙄?Bas kaza hapo....mtoto Hana hata mtoto😉
Sema machawa wako hatujui ulipo, tungekuja kukufanyia kazi zakoSijala chochote kipenzi, ndiyo nimeahtuka. Mambo ya kuamka alfajiri, unasema najiegesha nusu saa. Lazima kikulambe 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo nikiwa na mtoto unaweza kunibeba hivyohivyo?🤔Kwani mtoto anaweza kuzuia upendo🙄?