🤣🤣🤣Bada dk 31Ok, si huwa mnasema hivo tu kina mshamba utashangaa huwaoni tena😂
Computer network... Af kesho saa mbili tu kusubmitsomo gani?
Computer network... Af kesho saa mbili tu kusubmitsomo gani?
Ufanyeje, ulale au uje kazini..🤣🤣🤣Bada dk 31
tumia chatgpt weweComputer network... Af kesho saa mbili tu kusubmit
Tutakuwa wote...Kazi ingine? ? Mimi ndo najiandaa kuingia kazini lindoni
Tayari... Sema nataka nivipitie maana ni practical c unajua mambo ya field...tumia chatgpt wewe
CA mtelezo tuu
Wewe ni poor brain?Tayari... Sema nataka nivipitie maana ni practical c unajua mambo ya field...
Umeotaje ndugu yangu😁0111 Dah ndoto nyingine znatisha sana
Acha tu , staki hata kulala tena😂Umeotaje ndugu yangu😁
🙄yani usilale kisa ndoto ?Acha tu , staki hata kulala tena😂
Ndio🙄yani usilale kisa ndoto ?
Hauna usingizi itakua 😁😁Ndio
Sina umeisha piiiHauna usingizi itakua 😁😁
Ndoto zinakata usingizi, nimesinzia nimeota mauza uza usingizi umekata.0111 Dah ndoto nyingine znatisha sana
😁😁😁 ,utalala tu bila hata kujijuaSina umeisha piii