JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hii naijua 😂, ila taratibu 😁
Kaka kwema 😁🤣
20240424_231455.jpg
 
Sikua na wazo kabisa, kuwa kesho ni sikukuu ya muungano.
Ghafla my last Sibling ana piga Simu, kesho uje nyumbani Eti!

Huyu mtu ni mtu ninae mpenda na kumkubali kuliko kitu kingine, so kesho ni family dinner and party.

So aliye karibu asogee wadau, tupige story na tupate mlo safi.
I mean no malice to nobody.
 
Back
Top Bottom