Fundi manyumba 01
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,113
1:000000
01:06 Kuwa mpole12:57 AM Kilipigwa stop kikaja na gia nyingine
01:13Nipo 'half time', nipokeeni lindoni
Kaka vipi yule demu wako wa Russian anaendelea je😀 😀 😀 naogopa kudondokea huko
Hataki kutuma nauli mkuu 😀Kaka vipi yule demu wako wa Russian anaendelea je
Tuma hela wewe acha mboyoyo mbona wakati unamvua ulikua hupigi kelele1:19 AM eti Nina iphone sawa una iphone ndio ukose bando
😂🤣😂😂😁Tuma hela wewe acha mboyoyo mbona wakati unamvua ulikua hupigi kelele
Huu ni uwoga hebu mtagi, sisi sio waganga wa jadi wa ramli 😂😂😂1:58 AM Acha kujifnya mjuaji unga limited
Huyu hapa mtoto mdogo hata kusonga ugali hajui unga limitedHuu ni uwoga hebu mtagi, sisi sio waganga wa jadi wa ramli 😂😂😂