01:540133
01:5812:59 AM main chick
02:080205
021802:08
02:230218
Mi nimeamka saa6 nip zangu machinjion nasomba damu ya ngombe kwa ajili ya kutengeneza chakula cha mifugoNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Sehemu ganiMi nimeamka saa6 nip zangu machinjion nasomba damu ya ngombe kwa ajili ya kutengeneza chakula cha mifugo
025302:23
🚛🚛