Dizasta Vina Amechanganya Chanyanga Mitindo Ya Ku-flow Maana Rapcha Alisema Dizasta Vina Anastyle Moja Ya Ku-flow
Who told you to come aboard? Over
Mission compromise abort?Over
HApo Dizasta Vina Anamchana Rapcha Kama Ambavyo Pilot Wa Ndege Za Kivita Akimuuliza Nani Aliyemwambia Aende Kwenye Hiyo Mission (Battle Ya Kumdiss Dizasta).
Anamwambia Hiyo Mission Aachane(Abort) Nayo Maana Imekwisha Haribika(Compromised).
Corporal you not alone and you don't grow, over
Rapcha Anaambiwa Hayupo Pekee Yake Na Hivyo Inasababisha Kudumaa.
Go Master your bets couse you don't flow proper
Anamwambia Aende Akarekebishe Flow Zake Maana Anachana Hovyo.