Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,954
- 56,079
Wenge la nini kijana?Mzee I want to be a father shida, natetemeka na wenge sana😆😂.
Don't know tu, naogopa I will mess up my way niliyo I prepare na ku pave for a long period of time.Wenge la nini kijana?
Utaniambia ulipo ili nione kama kilo 2 zitakutosha😂Mahbaaa tukutane msalato mida unaijua
Tafuta mwanamke mnayeendana mjenge familia achana na wale jamaa wa kataa ndoaDon't know tu, naogopa I will mess up my way niliyo I prepare na ku pave for a long period of time.
Mzee Sina mpango wa kuoa, sio Leo sio kesho😁😁😆.Tafuta mwanamke mnayeendana mjenge familia achana na wale jamaa wa kataa ndoa
nah! am lactovegetarian .. but why between my offer u jumping jumping then .. i hate youuUtaniambia ulipo ili nione kama kilo 2 zitakutosha😂
Familia bora inajengwa na wazazi wote wawili kijanaMzee Sina mpango wa kuoa, sio Leo sio kesho😁😁😆.
Naam una taka Niki ache cheo Cha u katibu mwenezi wa kataa ndoa, hell no🤣😂😁.
Halafu kana ni binti wa kuoa, am being pressured kwa kiasi Kikubwa, Hadi Picha Niki oneshwa za mabinti, but ain't interested tu.
Maybe pre nual contract, kila mtu asset zake ziki tegemea😂😁Familia bora inajengwa na wazazi wote wawili kijana
I love the way u hate me tajirii😉nah! am lactovegetarian .. but why between my offer u jumping jumping then .. i hate youu
Kuna staff mwenzangu hua anapenda kuniambia "Kama nitaweza kuishi miaka hamsini ijayo kuna uwezekano mkubwa nikashuhudia dunia mbaya zaidi kuwahi kutokea au nzuri sana tangu iumbwe"Maybe pre nual contract, kila mtu asset zake ziki tegemea😂😁
Kuna Mzee hapa u joblesini, ana semaga you youth don't give.a shit about any terrifying thing😂😁.Kuna staff mwenzangu hua anapenda kuniambia "Kama nitaweza kuishi miaka hamsini ijayo kuna uwezekano mkubwa nikashuhudia dunia mbaya zaidi kuwahi kutokea au nzuri sana tangu iumbwe"
Lucha hii miyeyusho kaka 🤓Nilivyoona jina la uzi nikadhani ntakutana na viajuza vya jf viko nak
Kwa sasa tuna vijana wa hovyo sana kuwahi kutokeaKuna Mzee hapa u joblesini, ana semaga you youth don't give.a shit about any terrifying thing😂😁.
It depends una zungumzia wapi, on my side naona changes kubwa mkuu.Kwa sasa tuna vijana wa hovyo sana kuwahi kutokea
Hongera sana mkuuIt depends una zungumzia wapi, on my side naona changes kubwa mkuu.
Hongera ya nini mkuu??Hongera sana mkuu