Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Kiuno kigumu😆🤣
Kiuno kigumu😆🤣
Umechelewa wewe tu mwenyekit wenu tayari😃😃😃😃😃😃😃😃Nahisi Kama nataka kuoa hivi, halafu nakumbuka mi ni katibu mwenezi wa kataa ndoa🤣😆
🤣😂😁😁Kiuno kigumu😆🤣
Number 4 nzuri sanaKila Niki sikiliza hizi Nyimbo, hamu ya kutongoza Ina ishaga kabisa.
01,Kafia gheto by Hussle machozi.
02, Sitaki Dem - juma nature
03, Ina niuma Sana - juma nature
04, starehe by ferooz.
05, yalaa by ras lion ft John woka 😆🤒
Ume danganywa 😆, mwenyekiti kaenda kwenye kikao Cha kataa ndoa international festival 🤣Umechelewa wewe tu mwenyekit wenu tayari😃😃😃😃😃😃😃😃
Hapa hakuna Mlinzi😆🤣, kakae kule Kwa kina Shadow7 na Kichwa Kichafu madalali wenzio02:18 Mwanga wa simu umenichosha na macho makavu
Mke anatoka kwa Bwana, ukitafuta kwa utashi wako peke yake utarudi na ushuhuda wa kuupa uhai chama chenu cha kataa ndoa😃😃😃😃Kila Niki sikiliza hizi Nyimbo, hamu ya kutongoza Ina ishaga kabisa.
01,Kafia gheto by Hussle machozi.
02, Sitaki Dem - juma nature
03, Ina niuma Sana - juma nature
04, starehe by ferooz.
05, yalaa by ras lion ft John woka 😆🤒
Najua Hilo, Sema Nikiwa tayari nita Sema tu😆🤣Mke anatoka kwa Bwana, ukitafuta kwa utashi wako peke yake utarudi na ushuhuda wa kuupa uhai chama chenu cha kataa ndoa😃😃😃😃
Siku makalai yakinizidi hutokua unaniona hapaHapa hakuna Mlinzi😆🤣, kakae kule Kwa kina Shadow7 na Kichwa Kichafu madalali wenzio
Makarai, nipe deal niwe mhasibu😆🤒Siku makalai yakinizidi hutokua unaniona hapa
Gavoo 😃😃😃 watani zetu nyie wezi wa zamani 😃😃😃😃 siku hizi hamuibi njia zote zimekatwa😃😃😃😃Makarai, nipe deal niwe mhasibu😆🤒
Wala we work honestly kabisa, kikubwa USI Lete deal za unga wa glucose tu🤣😆Gavoo 😃😃😃 watani zetu nyie wezi wa zamani 😃😃😃😃 siku hizi hamuibi njia zote zimekatwa😃😃😃😃