Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,954
- 56,079
00:01Siku hizi mnamakelele sana wallah tukivamiwa tutakatishwa viuno wote 😂😂😂
kama namuona sameja na vin pamoja na half american
00:01Siku hizi mnamakelele sana wallah tukivamiwa tutakatishwa viuno wote 😂😂😂
kama namuona sameja na vin pamoja na half american
Yu nasi katika nyakati na wakati wote.Mungu ni mwema sana
AmenYu nasi katika nyakati na wakati wote.
Hamna ilikuwa zamani, kwa Sasa nasinzia hata masaa 2-3 hapo.Mtu mbadi karudiii mzee wa 24/7😃😃😃😃 najua wale waloshikilia kwa muda sasa wameachia nafasi
Yeah sahihi..,mapenzi yana nguvu bro....ila atarudi tu kwenye mstari...soon as possible 😉Kutana na @Shadow7 Huyu mzee alikuwa kamanda Safi, ila toka ampate @To yeye ame Baki kulala Kama mbuzi wa kafara tu.
aisee na mna sifiana kabisa, akati mna vunja sheria za lindo🤣Yeah sahihi..,mapenzi yana nguvu bro....ila atarudi tu kwenye mstari...soon as possible 😉
Sheria ya lindo haijasema tuwe mabubu mkuu...we are free to talk ilimradi hatutukani mtu✌️aisee na mna sifiana kabisa, akati mna vunja sheria za lindo🤣
🤣🤣🤣 ngoja nipige kwanza ki🐇 then niingie kufanya post mortem ila mtu naemfanyia post mortem kama nimewah mwona hapa kijijini kwetuNiite kamanda wa lindo, toka niingie lindoni magodoro huwa tuna yachoma moto kabisa.
Maana uki loweka maji, Kuna vijana walio shindikana Kama kina Mad Max na Uchira 1 wata sinzia tu.
Kutana na Shadow7 Huyu mzee alikuwa kamanda Safi, ila toka ampate To yeye ame Baki kulala Kama mbuzi wa kafara tu.
Kuna hiki kimanta financial services mdada Mali Safi kabisa, ila shida ana koroma Kama chura 😂.
Kuna haka ka shangazi uchwara Fake P, kana jikuta kagumu, kumbe pisi kali laini🤣.
Kuna wezi wenzangu kina miyeyusho stow away, chambo wa chama Cha wezi Analyse, mpiga chabo Poor Brain,
Kuna Hawa absentees wa kimataifa kina fyddell, MastaKiraka,
Bila kumsahau nusu albinoo Half american, and everyone else.
I mean no Malice to nobody
Naam, uko sahihi, I mean no malice to nobodySheria ya lindo haijasema tuwe mabubu mkuu...we are free to talk ilimradi hatutukani mtu✌️
Hebu nipigie pasi, nami nije nione sura zao Zina kuwaje😂🤣🤣🤣 ngoja nipige kwanza ki🐇 then niingie kufanya post mortem ila mtu naemfanyia post mortem kama nimewah mwona hapa kijijini kwetu
Oh sawa mkuu. Soon nakuletea vi🐇🐇🐇🐇🐇 ugawane na Half americanHamna ilikuwa zamani, kwa Sasa nasinzia hata masaa 2-3 hapo.