Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
Hapana hivyo vitu situmii 🤣, na Sina mpango wa hata kujaribu aiseeOh sawa mkuu. Soon nakuletea vi🐇🐇🐇🐇🐇 ugawane na Half american
Hapana hivyo vitu situmii 🤣, na Sina mpango wa hata kujaribu aiseeOh sawa mkuu. Soon nakuletea vi🐇🐇🐇🐇🐇 ugawane na Half american
Acha wivu mwenyekiti omba connection wataalamuna tupo aroundaisee na mna sifiana kabisa, akati mna vunja sheria za lindo🤣
Kama nani anatukanaga?Sheria ya lindo haijasema tuwe mabubu mkuu...we are free to talk ilimradi hatutukani mtu✌️
Tuitafute amani pale inapopatikana...tusichukulie kilakitu serious humu...tuna mambo mengi tunapitia nje ya jf tunapoingia jf tunaamua kuitafuta furaha kwa njia nyingi bila kuogopa mitizamo ya watu mkuu....Tuitafute amani ingali yapatikana🙏🏽🙏🏽Naam, uko sahihi, I mean no malice to nobody
Sijakuelewa?Kama nani anatukanaga?
Amen, na ikawe kheriTuitafute amani pale inapopatikana...tusichukulie kilakitu serious humu...tuna mambo mengi tunapitia nje ya jf tunapoingia jf tunaamua kuitafuta furaha kwa njia nyingi bila kuogopa mitizamo ya watu mkuu....Tuitafute amani ingali yapatikana🙏🏽🙏🏽
umeanza umeanza sitaki kukuona ukiwa serious buanaSheria ya lindo haijasema tuwe mabubu mkuu...we are free to talk ilimradi hatutukani mtu✌️
Unaujasiri wa kushuhudia mbili nazoenda zifanyia???Hebu nipigie pasi, nami nije nione sura zao Zina kuwaje😂
Barikiwa sana...tumeelewana mkuu🙏🏽umeanza umeanza sitaki kukuona ukiwa serious buana
Kaka nina Roho ngumu kuliko kawaida, ni vile napendaga privacy tu.Unaujasiri wa kushuhudia mbili nazoenda zifanyia???
Jamani nime tease tu kidogo😂, beside mimi kwa Sasa na focus kuupa nguvu mwiko wangu wa asili,🤣🤣Acha wivu mwenyekiti omba connection wataalamuna tupo around
Umesema sheria za kijiji haziruhusu kutukana. Nkauliza kama nan huwa anatukana?Sijakuelewa?
mwenyekiti Una uhaya kwa mbaaali eeh? au wewe ni nshomileKaka nina Roho ngumu kuliko kawaida, ni vile napendaga privacy tu.
Ila Kuna mtu Humu ana jua ukauzu wangu😂🤣
MTaje kama sheria inaruhusuKaka nina Roho ngumu kuliko kawaida, ni vile napendaga privacy tu.
Ila Kuna mtu Humu ana jua ukauzu wangu😂🤣
Hamna Nita mkosea na itakuwa nime vunja sheria yetu ya confidentiality.MTaje kama sheria inaruhusu
Kwanini nitoe maelezo marefu then wewe uchukue neno moja mkuu? Any agenda?Umesema sheria za kijiji haziruhusu kutukana. Nkauliza kama nan huwa anatukana?
😳aiseeMTaje kama sheria inaruhusu
Jamani mi siko jaribu na Sio kabila Hilo😂🤣, serious mi Nina roho kavu sometimes.mwenyekiti Una uhaya kwa mbaaali eeh? au wewe ni nshomile