JamiiForums Usiku wa manane

Mpaka mbwa wanayo ya kutembelea, anayo mengi sana. Fake P harudiagi gari, haijawai kutokea akarudia kutumia gari moja, akishatumia mara moja anatupa funguo.
Half american wee sio chawa sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa kucheka huku ntaonekana chizi
 
Tajiri tajiri tajiri
Nimekuita mara tatu aiseeeee

Tajiri anao mpaka masameja na wakili bila shaka unae

Leo Fake nimekutana na original mamaeeee pwagu na pwaguzi mmeupiga mwingi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Time will tell us

Lamomy please hapo kwa wizo naomba na mimi unitetee...
Yaaniiii kuongea siwezi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hakuna kutetewa lazima uchangamshwe saw kijana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kazi tunao akina sisi tunaorudia nguoπŸ˜‚ Fake P yeye gari harudii, Ee mola tujalie wana wako tuwe na angalau robo ya maisha kama ya Fake P

Sema AMEEN!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…