JamiiForums Usiku wa manane

Mxiiiiiiiie nasubiria mama jeni yako mahi sameja anaheshima yake
 
Wizo nikimuita hapa atawakera, nilimuita selfika akaanza kudangia mabwana wa watu live live mpk wa coca 🀣🀣🀣🀣
Coca naona zinaiva na wizo..
Na zinaiva kwa vile tuu anaona yule mtu ili uwe nae sawa wee obey tu ,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Alikuja hapa mara moja akachagua hali ya hewa akaondoka ,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanasema wizo ana mdomo mchafu sio wa kumwendea kichwa kichwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona ni mpole sana yuleee
 
Alafu mnasema nadanganya Poor Brain . We Fake P njoo hapa ujue ulivyo na mifweza.
 
nimepata wasiwasi, unadalili za kutaka kunikaba wewe
 
yani wew[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoj nimalizane na dada kwanza alf nitakurudia... hiv unawezaje kunichonganisha na anae nipa ugali[emoji35],,, muone kwanz[emoji1787][emoji1787]
So wewe kuni chongea kwa wizo uliona poa...
Upanga kwa upanga. Malizana na dada mi ntamalizana na ant
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeona win anajiachia kweli!! Halafu nimeona mnamsema pacha wangu mabakuli na crew yako [emoji23][emoji23][emoji23]

dada sirudii tena mmi nimekoma walahi[emoji29][emoji29],, sikujua kama unafahamiana na uyu mpenda mishangazi.... anataka atugombanishe tu wakati mi bado "Ntonto"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…