Winnone
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,521
- 4,146
We Kaka wewe afu ulichoniandikia kule kwenye siasa sijapenda kiukweli...unachokitaka utakipata
dada[emoji38][emoji38][emoji38] au basi
We Kaka wewe afu ulichoniandikia kule kwenye siasa sijapenda kiukweli...unachokitaka utakipata
Tatizo huwa ni nini, asilimia kubwa niliokutana nao huko mbugani hawataki kukaa kwenye tofari 😀😀Ety hui msumari wako unancha kali sana, kumbe anakuzuga tu hata kungwi hana
Tulia...kwikwi bila kushtuliwa haitulii (Fucha hii comment asiione)dada[emoji38][emoji38][emoji38] au basi
Tulia...kwikwi bila kushtuliwa haitulii (Fucha hii comment asiione)
Basi tu labda kuzoea kulala mgongoTatizo huwa ni nini, asilimia kubwa niliokutana nao huko mbugani hawataki kukaa kwenye tofari 😀😀
🤣🤣🤣Kumbe hapa nimechemka🤣🥴wakumshitua ni yule aliepo nae karibu ndo inafany kaz kwa haraka
Uvivu tu kufunzwa wapiBasi tu labda kuzoea kulala mgongo
Na kutofunzwa
Wake washanikimbia saivi nahamishia kambi kwako😂huku kunaitwa kunichalazia![]()
![]()
![]()
![]()
sameja tuendelee na mambo za wakezo wallah![]()
😂😂😂😂😂😂Uwiiiii.Uvivu tu kufunzwa wapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe hapa nimechemka[emoji1787][emoji3061]
Heee jamani nimekuandikia nini my dada home girl?We Kaka wewe afu ulichoniandikia kule kwenye siasa sijapenda kiukweli...unachokitaka utakipata
Ndo unamshtua kwa comment 🤣🤣🤣🤣Tulia...kwikwi bila kushtuliwa haitulii (Fucha hii comment asiione)
Huu mchezo ogopa sana anaesema naweza public....au hujifunzi kwa mastedi shoo full kunengua mauno hadharani afu Waume zao daily kulalamika wanalala kama gogo 🤣🤣🙌🏿😂😂😂😂😂😂Uwiiiii.
Ila kweli uvivu Tu😁
Wanasema mlango unashuka chini, ukikutana na msumari ndipo wanapata maumivuBasi tu labda kuzoea kulala mgongo
Na kutofunzwa
Umechange avatar nmekusahau.....irudishe bana.2307
Jamani nifanyeje kwikwi tangu saa tano asubuhi inanisumbua.Au nimelogwa?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kidogo nipaliwe kudade😜Huu mchezo ogopa sana anaesema naweza public....au hujifunzi kwa mastedi shoo full kunengua mauno hadharani afu Waume zao daily kulalamika wanalala kama gogo 🤣🤣🙌🏿
🤣🤣🤣 nimeambiwa haifanyi kazi nilitaka niyachanganye mapigo ya moyo ili kwikwi ikate...nimeambiwa ilifaa niwe karibu naweHeee jamani nimekuandikia nini my dada home girl?
Unajua me home hapo Green city!Inyala,Uyole,Sae,mama John,kabwe,mabatini,kalobe,ikuti,iyela mpaka Mbalizi ndo mitaa yangu.
Please I am sorry though sijui nimeandika nini jamani?labda nilighafilika nisamehe
Fanya hivi ziba mdomo na pia hesabu sekunde 10 kimoyo moyo itaacha au kula kijiko kimoja cha sukari2307
Jamani nifanyeje kwikwi tangu saa tano asubuhi inanisumbua.Au nimelogwa?
Wake washanikimbia saivi nahamishia kambi kwako😂
😂😂😂😂😂😂😂Ety unagusa kweny utumbo mpanaWanasema mlango unashuka chini, ukikutana na msumari ndipo wanapata maumivu